Mwenye kujua vyeo pale WCB tafadhali

Bas Diamond in muajiri mkubwa hapa nchini baada ya serikali
 
Vp duller square?
 
Shukrani Mkuu samsun kwa ufafanuzi mzuri.. Wacha niongezee kidogo (uongozi wa juu)


Diamond Platnumz - CEO

Sallam - General Manager (Pia ni Manager wa Diamond wa Kimataifa na wasanii wengine wa WCB)

Babu Talle - Manager (wasanii wote WCB lakini anadili zaidi na Diamond)

Said Fella - Manager

Kifesi - Manager 'wasafi studios' (pia ni mpiga picha rasmi wa Diamond)

Q boy - personal assistant na stylist wa Diamond na WCB kwa ujumla.

Ricardomomo - Manager (wasanii wote WCB, anadili zaidi na Harmonize)

Kame boy - Manager (wasanii wote, anadili zaidi na Rayvany)


Huo ni uongozi wa juu, lakini kuna vijana wengine zaidi ya 30 wenye vyeo na shughuli mbali mbali ndani ya WCB.

Kwa mfano;

Lukamba - Videographer

Laizer - Producer

Harmonize, rayvany, queen darleen - (wasanii)

Mose, dummy, zungu, manywele etc - dancers.

Pia wako vijana walioajiriwa kama wapiga vyombo kwenye band.

Wapo vijana kwaajili ya mitandao ya kijamii (mfano almaszambele, issaazam etc)

Pia yuko binti wa Media na Public Relations.

Kwa Ufupi hiyo ndiyo sura ya ofisi ya WCB.



The Bold.
 
Poa mkuu,wewe umeiweka kiutamu zaidi.
 
Wote hao wanalipwa mshahara na Diamond?[emoji15]
Wapo ktk aina mbili za kulipwa, wapo wanaolipwa papo hapo kulingana na kufanya shoo au matangazo na vinavyohusiana (ambao ni wengi) Lakini pia wapo wa mwisho wa mwezi (ambao ni wachache)
 
Bas Diamond in muajiri mkubwa hapa nchini baada ya serikali
Ni kweli kawaajiri wengi,tena wana maisha mazuri mno,lakini yeye sio baada ya serikali wapo wengi waliowaajili watu wengi sana,japo na yeye ana watu wanamuangalia.
 
The bold huu Mwaka tunaumalizaje kule
The bold mwaka huu tunaumalizaje kule Intel? Aachie kigongo kimoja cha kufungia mwaka
 
The bold huu Mwaka tunaumalizaje kule

The bold mwaka huu tunaumalizaje kule Intel? Aachie kigongo kimoja cha kufungia mwaka
Bae yuko busy...ngoja nimjibie.
Kigongo karibia kitawekwa.
Kitakuwa kikali kuliko vyote kwani katumia muda mrefu sana kukiandaa.

Hivyo mkuu MSAGA SUMU na wote mnaosubiria kwa hamu kigongo cha The bold kule J.I kaeni mkao wa kula.

Historia itakwenda kuandikwa...
Na napendekeza akiweke tarehe 24.
Karibu
 

Tunakisubiri sana na hiyo itakuwa trh nzuri wakat tunasubiri ufufuko wa krstu
 
Fanya Ku edit maelezo yako hapo kwenye wasanii MAVOKO kama hujamweka!
 
Haya, mwenye kujua management na wafanyakazi wa Afande Sele aweke hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…