Mwenye kujua wimbo ulio kwenye video hii

Mwenye kujua wimbo ulio kwenye video hii

Ndenji five

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2021
Posts
1,985
Reaction score
3,109
Nimeiweka hapa hiyi vidio nikijua inaendana na hili jukwaa kwasababu ina ujumbe.

Ila mi lengo langu kujua hiyo nyimbo alieitumia huyo jamaa kwenye hiyi video.
 
Tafuta hela hakuna anaekas mbali na siku,

Wimbo naujua ila sikutajii usije ukalia
 
Can We Kiss Forever by Kina..Aaf kuna huu Surrender wa Natalie Taylor
 
Back
Top Bottom