concordile 101 JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 3,379 Reaction score 6,624 Sep 4, 2014 #1 jaman naomba mwenye kujua zilipo ofis syngeta kwa dar anisaidie. au yeyeto mwenye kujua napoweza pata mbegu za nyanya aina ya kilele f1 au tylka f1 naomba anisadie. kariokoo sipatak wameniuzia mbegu fake wiki ya tatu hata kuchomoza majan hakun.
jaman naomba mwenye kujua zilipo ofis syngeta kwa dar anisaidie. au yeyeto mwenye kujua napoweza pata mbegu za nyanya aina ya kilele f1 au tylka f1 naomba anisadie. kariokoo sipatak wameniuzia mbegu fake wiki ya tatu hata kuchomoza majan hakun.