concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 3,379
- 6,624
jaman naomba mwenye kujua zilipo ofis syngeta kwa dar anisaidie. au yeyeto mwenye kujua napoweza pata mbegu za nyanya aina ya kilele f1 au tylka f1 naomba anisadie. kariokoo sipatak wameniuzia mbegu fake wiki ya tatu hata kuchomoza majan hakun.