mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Kama sikosei mfumo wa uendeshaji wa ligi ya mabingwa barani Afrika na ule wa kombe la shirikisho katika mtindo wa makundi ulianza mwaka 1998 Tanzania ikiwakilishwa na Yanga.
Ninachokikumbuka Yanga alikuwa wa mwisho katika kundi lake la timu nne akiambulia point 2 katika michezo 6.
Je, baada ya hapo Yanga alishawahi kuyashiriki hayo mashindano?
Na kama aliwahi kuyashiriki , aliwahi angalau kumaliza hatua hiyo ya makundi akiongoza kundi au hata kuwa katika nafasi ya pili tu?
Na je , ilikuwa mwaka gani?