Mwenye kumbukumbu ya Yanga angalau kumaliza hatua ya makundi akiwa japo wa pili tu kwenye kundi anikumbushe

Mwenye kumbukumbu ya Yanga angalau kumaliza hatua ya makundi akiwa japo wa pili tu kwenye kundi anikumbushe

Ili ufurahi zaidi Iko hv, Yanga hajawahi kucheza kabisa makundi ya michuano yoyote Ile na ni Bora hvyo kuliko kiliaibisha Taifa letu ambalo mama yetu anajitahidi kutumia nguvu nyingi kulitangaza..
Simba ndo Timu pekee inayolitia fedhea Taifa hili
Waziri wa Utalii Dk. Ndumbaro anasema Yanga ikiingia kwenye michuano ya Kimataifa Jioni, mpaka kufikia Asubuhi tayari ameshatolewa, yaani kabla wengine hawajaamka kutoka usingizini.

Simba SC ndo Brand Kubwa ya Soka Nchini.
 
Kumbe wewe ni Tahira eeeh, we si umezungumzia level ya makundi...!!! Sasa nani anaongoza kumwagiwa magoli mengi nchii hii zaidi ya Nyie Makolo.. zile 5,5 na hiz za Sasa sijui 3, 2 bila.. yaan zote ni nyie tu. Makolo mnajitekenya hamuwezi kufika kokote, hamna uwezo wa kushinda ugenn.. nyumbani mnaforce kushinda kimoja Cha uchawi wa paka mkienda ugenn mnatobolewa 5😃

Hii mlipigwa nyumbani Utopolo Fc .....YANGA WALIPOPIGWA 3-0 NA ASEC SHAMBA LA BIBI 1998​

Kumbe wewe ni Tahira eeeh, we si umezungumzia level ya makundi...!!! Sasa nani anaongoza kumwagiwa magoli mengi nchii hii zaidi ya Nyie Makolo.. zile 5,5 na hiz za Sasa sijui 3, 2 bila.. yaan zote ni nyie tu. Makolo mnajitekenya hamuwezi kufika kokote, hamna uwezo wa kushinda ugenn.. nyumbani mnaforce kushinda kimoja Cha uchawi wa paka mkienda ugenn mnatobolewa 5😃
1648197673973.png
 
Sasa kama waliuweza mtihani ule, kwa nini wanaushindwa wa sasa? Kwa nini kila wakigusa wanatolewa raundi ya awali?
Maandalizi mkuu, kama mwaka jana hayakuwa sawa kabisa na viongozi kutokuwa serious tu maana usajili wanamaliza huku caf washafunga usajili.
Tuwape mda kama ni soma tumelipata kutoka kwa mikia.
 
Kama sikosei mfumo wa uendeshaji wa ligi ya mabingwa barani Afrika na ule wa kombe la shirikisho katika mtindo wa makundi ulianza mwaka 1998 Tanzania ikiwakilishwa na Yanga.

Ninachokikumbuka Yanga alikuwa wa mwisho katika kundi lake la timu nne akiambulia point 2 katika michezo 6.

Je, baada ya hapo Yanga alishawahi kuyashiriki hayo mashindano?

Na kama aliwahi kuyashiriki , aliwahi angalau kumaliza hatua hiyo ya makundi akiongoza kundi au hata kuwa katika nafasi ya pili tu?
Na je , ilikuwa mwaka gani?
watakwambia EAC
 
Ili ufurahi zaidi Iko hv, Yanga hajawahi kucheza kabisa makundi ya michuano yoyote Ile na ni Bora hvyo kuliko kiliaibisha Taifa letu ambalo mama yetu anajitahidi kutumia nguvu nyingi kulitangaza..
Simba ndo Timu pekee inayolitia fedhea Taifa hili
Alicheza mwaka 1998 akapigwa goli 6 na Raja Casablanca na kwenye kundi aliambulia point 1 tu alitoka sare ya goli 3 hapa uwanja wa Uhuru.
 
Back
Top Bottom