mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Furaha kwao ilikuwa ni kupanda ndege tu .
Bangi ni mbaya . Ulipokojolewa ndani na nje na Rivers hukuliaibisha taifa?Ili ufurahi zaidi Iko hv, Yanga hajawahi kucheza kabisa makundi ya michuano yoyote Ile na ni Bora hvyo kuliko kiliaibisha Taifa letu ambalo mama yetu anajitahidi kutumia nguvu nyingi kulitangaza..
Simba ndo Timu pekee inayolitia fedhea Taifa hili
Mpe!mpe!,mpe tena.Hadi ashike Adabu.Bangi ni mbaya . Ulipokojolewa ndani na nje na Rivers hukuliaibisha taifa?
Ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko wewe kupata takwimu Utopwinyo wakiwa angalau wa pili kwenye groupKama sikosei mfumo wa uendeshaji wa ligi ya mabingwa barani Afrika na ule wa kombe la shirikisho katika mtindo wa makundi ulianza mwaka 1998 Tanzania ikiwakilishwa na Yanga.
Ninachokikumbuka Yanga alikuwa wa mwisho katika kundi lake la timu nne akiambulia point 2 katika michezo 6.
Je, baada ya hapo Yanga alishawahi kuyashiriki hayo mashindano?
Na kama aliwahi kuyashiriki , aliwahi angalau kumaliza hatua hiyo ya makundi akiongoza kundi au hata kuwa katika nafasi ya pili tu?
Na je , ilikuwa mwaka gani?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]huwa wanakuwa wa pili kupitia timu shindani na Simba Sc. Mfano kwende kundi D Yanga wapo nafasi ya kwanza kupitia Asec Mimosa
Kama sikosei mfumo wa uendeshaji wa ligi ya mabingwa barani Afrika na ule wa kombe la shirikisho katika mtindo wa makundi ulianza mwaka 1998 Tanzania ikiwakilishwa na Yanga.
Ninachokikumbuka Yanga alikuwa wa mwisho katika kundi lake la timu nne akiambulia point 2 katika michezo 6.
Je, baada ya hapo Yanga alishawahi kuyashiriki hayo mashindano?
Na kama aliwahi kuyashiriki , aliwahi angalau kumaliza hatua hiyo ya makundi akiongoza kundi au hata kuwa katika nafasi ya pili tu?
Na je , ilikuwa mwaka gani?
Kumbe wewe ni Tahira eeeh, we si umezungumzia level ya makundi...!!! Sasa nani anaongoza kumwagiwa magoli mengi nchii hii zaidi ya Nyie Makolo.. zile 5,5 na hiz za Sasa sijui 3, 2 bila.. yaan zote ni nyie tu. Makolo mnajitekenya hamuwezi kufika kokote, hamna uwezo wa kushinda ugenn.. nyumbani mnaforce kushinda kimoja Cha uchawi wa paka mkienda ugenn mnatobolewa 5😃Bangi ni mbaya . Ulipokojolewa ndani na nje na Rivers hukuliaibisha taifa?
Aisee hebu tumia mata..o Yako Kwa kazzi yake...Simba imeeingia robo fainali mara 2 ,na ikawabeba na nyie mara 2 ,na mkaenda mkatobolewa mbele na nyuma ...bado tu unatukana!Kumbe wewe ni Tahira eeeh, we si umezungumzia level ya makundi...!!! Sasa nani anaongoza kumwagiwa magoli mengi nchii hii zaidi ya Nyie Makolo.. zile 5,5 na hiz za Sasa sijui 3, 2 bila.. yaan zote ni nyie tu. Makolo mnajitekenya hamuwezi kufika kokote, hamna uwezo wa kushinda ugenn.. nyumbani mnaforce kushinda kimoja Cha uchawi wa paka mkienda ugenn mnatobolewa 5😃
Ahaaa! Ahaaa!Ahaaa!Ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko wewe kupata takwimu Utopwinyo wakiwa angalau wa pili kwenye group
Ili ufurahi zaidi Iko hv, Yanga hajawahi kucheza kabisa makundi ya michuano yoyote Ile na ni Bora hvyo kuliko kiliaibisha Taifa letu ambalo mama yetu anajitahidi kutumia nguvu nyingi kulitangaza..
Simba ndo Timu pekee inayolitia fedheha taifa