Mwenye kumbukumbu ya Yanga angalau kumaliza hatua ya makundi akiwa japo wa pili tu kwenye kundi anikumbushe

Ili ufurahi zaidi Iko hv, Yanga hajawahi kucheza kabisa makundi ya michuano yoyote Ile na ni Bora hvyo kuliko kiliaibisha Taifa letu ambalo mama yetu anajitahidi kutumia nguvu nyingi kulitangaza..
Simba ndo Timu pekee inayolitia fedhea Taifa hili
Waziri wa Utalii Dk. Ndumbaro anasema Yanga ikiingia kwenye michuano ya Kimataifa Jioni, mpaka kufikia Asubuhi tayari ameshatolewa, yaani kabla wengine hawajaamka kutoka usingizini.

Simba SC ndo Brand Kubwa ya Soka Nchini.
 
Hii mlipigwa nyumbani Utopolo Fc .....YANGA WALIPOPIGWA 3-0 NA ASEC SHAMBA LA BIBI 1998​

Sasa kama waliuweza mtihani ule, kwa nini wanaushindwa wa sasa? Kwa nini kila wakigusa wanatolewa raundi ya awali?
Maandalizi mkuu, kama mwaka jana hayakuwa sawa kabisa na viongozi kutokuwa serious tu maana usajili wanamaliza huku caf washafunga usajili.
Tuwape mda kama ni soma tumelipata kutoka kwa mikia.
 
watakwambia EAC
 
Ili ufurahi zaidi Iko hv, Yanga hajawahi kucheza kabisa makundi ya michuano yoyote Ile na ni Bora hvyo kuliko kiliaibisha Taifa letu ambalo mama yetu anajitahidi kutumia nguvu nyingi kulitangaza..
Simba ndo Timu pekee inayolitia fedhea Taifa hili
Alicheza mwaka 1998 akapigwa goli 6 na Raja Casablanca na kwenye kundi aliambulia point 1 tu alitoka sare ya goli 3 hapa uwanja wa Uhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…