Willy Gamba alikuwa ni mhusika, Mwandishi ni Hayati Elvis Musiba.Mimi nilisoma vitabu vya mwandishi will Gamba
Asante sana kwa kunijuvya,mimi pia nilihisi hivo maana nilisoma vitabu nikiwa darasa la tatu na vitabu vingi havikuwa na Gamba hivyo sikujua kama Gamba ni mhusika tu au ni muandishi.Asante kwa taarifaWilly Gamba alikuwa ni mhusika, Mwandishi ni Hayati Elvis Musiba.
Willy Gamba, Hofu, Njama, na E MUSIBA, Mnakumbuka Enzi Hizo?
NIlikisoma tena nikiwa darasa la tatu nakumbuka sana kulikuwa na dada mmoja alikuwa anatembeza mkono mbaya na pia nakumbuka majina kama swapo,frelimo na monrovia niliyasikia humo.Natamani nipate nakala nikisoma sisi nikiwa na uwezo wangu wa fikra nilio nao sasa kwakipindi kile kidogo sikumbuki vingi.Vinapatikana wapi?Umeshakosea hapo kwa kusema umesoma kitabu cha Muandishi Will Gamba.
Willy Gamba ni Muhusika Mkuu kwenye simulizi, hivyo kama kweli umesoma sidhani kama ungechanganya.
Asante nitatembea huko kupata taarifa na nakala nikajisomeeevitabu kama; njama, hofu, kikosi cha kisasi, kikomo, kufa na kupona, na uchu unaweza kuvipata kwa wauzaji posta mpya lakini pia mnazi mmoja pale stand kuna jamaa wanauza hivyo vitabu.
Hebu tembelea maduka makubwa/makongwe ya vitabu.NIlikisoma tena nikiwa darasa la tatu nakumbuka sana kulikuwa na dada mmoja alikuwa anatembeza mkono mbaya na pia nakumbuka majina kama swapo,frelimo na monrovia niliyasikia humo.Natamani nipate nakala nikisoma sisi nikiwa na uwezo wangu wa fikra nilio nao sasa kwakipindi kile kidogo sikumbuki vingi.Vinapatikana wapi?
kweli kabisa hata mimi nilisoma nikiwa darasa la tatuHichi kitabu nilisoma nikiwa darasa la tatu, hapo nilikuwa nishaanza kujua kusoma..
Badae nilijikuta nataman sana kuwa mpelelezi, tangu hapo kila nikiulizwa unapenda nn nasema kuwa mpelelezi. .
Willy Gamba alini inspire kiukweli, na hakuna kitabunkigimu kutoka kichwan mwangu kama cha huyu jamaa
Kila la kheri.Niko Dar es salaama nafikiria kwenda huko kesho
Mzee wa ChuraAsante nitatembea huko kupata taarifa na nakala nikajisomeee