emboaba
Senior Member
- Oct 5, 2014
- 143
- 117
habar mateknishan..baada ya kulazmishwa sana juz nmeanza kutumia hz cm infinix somehow zko vzur bt tatzo lake lko kwenye alarm..ndio alarm mara mbil nzma imenidanganya..nmeiset iniamshe mda flan simu nkaizma bt ikaptlza baada ya kuamka nmekuta neno "alarm missed" 2x imefanya ivo...msaada kwa mweny kujua ufumbuz wa hl tatzo...nawasilisha