Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Nimepewa swali binafsi hapa chuoni linlotaka niandike insha isiyopungua kurasa mbili kuhusu ushairi wa kiswahili,tafadhari naomba ushirikiano na email yangu ni ntakilowakumulaga@gmail.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
subiri waje watu wa kiswahili wakusaidie
mbona simple assaignment sana hiyo kijana!au husomi kiswahili?swali liko wazi,ukipewa majibu hapa unadumaa akili.
una tsh ngapi? Ongea na vjana wa s.a.u.t watakusaidia.
hapo lazima uandike maana ya ushairi.
maana ya ushairi wa kiswahili.
historia ya ushairi wa kiswahili kabla ya uhuru.
historia ya ushairi wa kiswahili baada ya uhuru.
muundo wa ushairi ya kiswahili.
changamoto za ushairi wa kiswahili.
HAYO NILIYOELEZA YATAPITA KURASA MBILI KWAIYO CHAGUA CHA KUONGELEA KATI YA HAYO ILA USIACHE KUZUNGUMZIA MAANA NA HISTORIA YA USHAIRI WA KISWAHILI.
nimempa hints mengine atajazia yeye.
ukumbini sio pake hapo hulima kwa shaka,hapo huyakosa yake mazingira ya kushika,ni kama kuku muweke achanganyike na paka,huona heri atoke huchelea kupotoka,kila kitu kinapake kinapoweza kunyooka,jembe likilimia ukumbini hukongoka,
Sema swali lilivyo.Asili yake au kitu gani?
Una tsh ngapi? Ongea na vjana wa S.A.U.T watakusaidia.
SAM LOVE Ameeleza sahihi kabisa, kazi kwako kjana.