Mwenye Mama amheshimu sana

Mwenye Mama amheshimu sana

tumefundishwa kuwatendea haki wazazi wetu2.
hatakama akikosea basi ongea nae kwa upole na uwe mwenye subra.
 
S

Natamani ungesema mwenye wazazi awaheshimu sana kuliko kuanza kuwatenganisha.

Kauli ya kuwatenganisha utaona chungu siku watoto wako wakianza kuwatenganisha wazazi kwa upendo. Asante

kichwa chako kina maji...
 
Back
Top Bottom