Mwenye maono akifa vitu vyote hufa kibudu, viwanda vilivyoanzishwa na Magufuli mbona havikuwa magofu?

Mkuu, viwanda kama viwanda, nimekuletea hapo juu mkuu
Vilikuwa ni viwanda vya Magufuli au vya serikali? Hivyo vyote ulivyotaja ni viwanda vya watu binafsi, je wamezuiwa kuvijenga? Chama ni kile kile, sera na ilani ni ileile, kwanini visiendlee kujengwa, au nchi hii rais aliyeko madarakani, ndio sera, ilani na miongozo.

Kama ni hivyo tunaposema rais ana madaraka makubwa bila sababu ya msingi, kwanini huwa mnashupaza shingo?
 
Hatuna wapinzani ni wahuni tu wasaka tonge. Ndiyo maana mambo ya msingi ya kuleta maendeleo kama alivyosimamia Magu walipiga vita na kudanganya wananchi.
Sasa hivi wameonjeshwa asali wamebadili mashahiri!
Kwani wanaomjibu mtoa mada ni wapinzani au wananchi wa kawaida?
 
Nchi hii akiingia Rais wa Nyota na Mwezi basi ujue ni kula Bata sana na kazi kidogo na akiingia Rais wa msalaba basi ni kazi kwa kwenda mbele na Bata kidogo.
Kwaiyo kuwa mvumilivu mpaka 2030 uko,vitajengwa!
Hatutaki tena misalaba ya kuitesa nchi, tunataka nyota na mwezi, huleta nuru kwenye giza
 
Natamani sana kupata maoni ya wazazi wako. Mkuu umerogwa au uko sawa?
 
Kwani wanaomjibu mtoa mada ni wapinzani au wananchi wa kawaida?

Kwa hapa tulipofikia wapinzani ndio wenye uwezo wa kuhoji, CCM wengi ni bendera fuata upepo, kwahiyo hata mwananchi wa kawaida akihoji kitu inaonekana ni mpinzani. Hivyo huyo jamaa amethirika na dhana hiyo potofu, kwa mtu yeyote mwenye kuhoji, huyo ni mpinzani.
 
Sijataka msaada mkuu, lakini naona kama umevurugwa, japo ni maoni yangu ila wewe kama wewe wajiona uko sawa
Tafsiri yako ni yako! Endelea uko sawa tu kwa uonavyo wewe na siwezi kukuzuia
 
Vilikuwa vya serikali au binafsi. Kama ni binafsi basi uwekezaji haukulipa maana hakuna mtu anaweza funga tu biashara uake
 
Vilikuwa vya serikali au binafsi. Kama ni binafsi basi uwekezaji haukulipa maana hakuna mtu anaweza funga tu biashara uake
Serikali haifanyi biashara mkuu
 
KWA VIWANDA HIVI TANZANIA TUSINGEKUWA NA TATIZO LA AJIRA
 
Nilikuwa nacheka eti alikuwa anaenda kufungua viwanda, viwanda vyenyewe sasa vilikuwepo bali vilikuwa vinapigwa rangi kisha anajifanya kwenda kuvizindua! Baada ya wetu kumponda huku mitandaoni ikabidi aache.
Bangi!, ni kweli haijawahi kumwacha mtu salama.
 
Labda we ndio ulikuwa huoni
Wewe ukiekuona unaviona embu tuambie vilikuwa viwanda vya nini? Chai.pipi.biskuti.maji au nini? Ebu wewe mwenzetu unaevifahamu tutajie vilipo ili nasi tusiovijua tujiridhishe kwa kuona hata hayo magofu unayosema
 
Yule mpumbavu ni bora alikufa tu, hebu angalia tulivyopigwa haswa, mpaka mambulula wakaaminishwa huu ujinga

 
Unaelewa maana ya upinzzani/ opposition lakini? Kutoa mawazo mbadala siyo kupinga unataka wapinzani waisifie serikali? Hamuangalii hata mabunge ya wenzenu majuha nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…