Mwenye mbinu za kuacha ngono

Mwenye mbinu za kuacha ngono

Salam!
Hivi Kuna mbinu yeyote mtu anaweza akaacha kufanya ngono na mbinu hizo ni zipi?
Wanasaikologia; Msaada tafadhali.
oa mwanamke wa aina ya matamanio yako na mnayeskilizana, kuelewana na kupendana.

Tofauti na hapo mengine yatakuwa ni mbwembwe tuu, tena utairudia kwa spidi ya 4G.
 
Huna stress ,maana ukiwa na stress automatically unaacha ,yaani huna majukumu kabisa mzee na hutoacha mpaka utakapokuwa na majukumu
Ninayo Sana ...ila saa nikiwa na nafasi kidogo napenda nikae faragha na demu
Alafu sipendi it's automatic happen
 
Mimi sipendi NGONO kabisa hata nikilala na mke wangu najisikia vibaya baada ya tendo
Kwani unalazimishwa? Mwache mkeo akatafute mwanaume mwingine. Kuwa muwazi ubaki mwenyewe kwa raha zako
 
Back
Top Bottom