Mkikufa anatoa bus la kuwapeleka Makaburini.kwani hatekelezi ahadi zake, au unataka awe msemaji saaana bungeni ili aonekane kwenye vyombo vya habari lakini utekelezaji sifuri?
maana binadamu hamuna wema, kila munalofanyiwa hamupendi
Wananchi wanampenda au anaambiwa wanampendaNashangaa na nahisi hata yeye anajishangaa,TUNAMPENDEA NINI?
Kwani wana moro mjini wanasemajeNashangaa na nahisi hata yeye anajishangaa,TUNAMPENDEA NINI?
Ikitokea misiba anatoa magariAnagawa mchele na mafuta mara moja kwa mwaka. Njia ya kuelekea uelewa wa Mtanzania ni tumbo tu.
Ukimshibisha Mtanzania atakusifia hata kama husifiki.