ipo hivi
chukua 31-14=17
siku ya 17 baada ya hedhi kuanza ndio siku yai linapotoka kwahiyo ndio siku ambayo ni most probable kwa yeye kupata mimba,sasa yai huwa linaweza likakaa kwa kama siku tatu baada yakutoka kwahyo siku ya 18 hadi ya 20 nayo ni dangerous,pia linaweza likawahi kutoka kwahyo kwaanzia siku ya 14 nayo ni dangerous....
Conclusion: siku zenye high probability yeye kupata mimba ni 14 hadi ya 20