Mwenye mzunguko wa siku 31

Mwenye mzunguko wa siku 31

Baba mtata

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
280
Reaction score
40
Heshima mbele wakuu kwa wanaoelewa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 31 (hedhi)siku yake ya kupata mimba ni ipi? Na mnisaidie jinsi ya kuhesabu siku hizo za yeye kushika mimba
 
ipo hivi
chukua 31-14=17
siku ya 17 baada ya hedhi kuanza ndio siku yai linapotoka kwahiyo ndio siku ambayo ni most probable kwa yeye kupata mimba,sasa yai huwa linaweza likakaa kwa kama siku tatu baada yakutoka kwahyo siku ya 18 hadi ya 20 nayo ni dangerous,pia linaweza likawahi kutoka kwahyo kwaanzia siku ya 14 nayo ni dangerous....
Conclusion: siku zenye high probability yeye kupata mimba ni 14 hadi ya 20
 
Back
Top Bottom