stakehigh JF-Expert Member Joined Aug 9, 2019 Posts 40,702 Reaction score 41,213 Oct 17, 2025 #1 japo sio watu wengi wana uelewa sana wa crypto ila huyu mzee amefanya kilicho kibaya sana wiki hii, binafsi kama 40% ya mtaji mzima umeenda, ni sahihi kabisa kumrushia mashtaka huyu mwamba
japo sio watu wengi wana uelewa sana wa crypto ila huyu mzee amefanya kilicho kibaya sana wiki hii, binafsi kama 40% ya mtaji mzima umeenda, ni sahihi kabisa kumrushia mashtaka huyu mwamba
100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 10,825 Reaction score 38,702 Oct 17, 2025 #2 Usijali Abdul atakupatia mtaji.
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 12,463 Reaction score 27,556 Oct 17, 2025 #3 Huku Voda wakiona huna Hela Kila aina ya msg utapata yani
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Oct 19, 2025 #4 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw