Mwenye namba za mawasiliano za wasanii wa FUTUHI-Star tv

Mwenye namba za mawasiliano za wasanii wa FUTUHI-Star tv

Pilitoni

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
1,197
Reaction score
507
Hawa jamaa nawakubali sana,wanatoa messages za ukweli na wanaburudisha pia.Mwenye namba zao za simu naomba! Au kama aliye na namba ya simu ya mmojawapo naomba
 
Mmoja wapo, nani? Yule muha, muhaya, mjaluo au mmakonde
 
mimi siwapendi wale wa chaneli 5 maana hamna lolote la kucheka
 
mie nikionaga najitahidi nitamani kucheka lakini wapi!!!!!!!

wale wa EATv ndio kabisa,kulazimisha fani!!!!!
 
Yule mmakonde noma,ningepata namba yake ingekuwa poa
 
mie nikionaga najitahidi nitamani kucheka lakini wapi!!!!!!!

wale wa EATv ndio kabisa,kulazimisha fani!!!!!

kwakweli even me sijaona kati ya hao. Mzee majuto, mboto,kitale na marehem sharo ndo big respect kwangu wengine wanasubiri sana. Labda na comedy show kina masanja ndo walibamba kimtindo hasa joti na masanja wengine hawa wasindikizaji tu.
 
Hawa jamaa nawakubali sana,wanatoa messages za ukweli na wanaburudisha pia.Mwenye namba zao za simu naomba! Au kama aliye na namba ya simu ya mmojawapo naomba

Nenda kwenye page yao ya facebook.com/futuhi
 
mie nikionaga najitahidi nitamani kucheka lakini wapi!!!!!!!

wale wa EATv ndio kabisa,kulazimisha fani!!!!!

Mbona mwenzenu nimeshapata suluhisho, na kwa kuwa inasemwa kizuri kula na nduguyo....basi sina budi kuwamegea.

Ingieni citizen tv.....jtatu utakutana na insp Mwala, alhamisi yupo Papaa Shirandula, Njoroge na kuna mwanamke anaongea kama amemeza kaseti ya TDK anaitwa Wilibroda.......yaani fulu burudani mazee.

Juzi nimeona wamempa shavu Dokii.....ametishaje ?
 
Back
Top Bottom