R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 1,958 Reaction score 1,744 Jun 15, 2021 #1 Habari wakuu, Nilikuwa na namba za wachambuzi wa muziki Kama Rajab Zomboko, Chacha Maginga lakini bahati mbaya nimefanya reset ya Simu sizioni Tena. Naomba mwenye namba hizo na za wachambuzi wengine naomba anitumie hapa au PM au kwenye 0776655978
Habari wakuu, Nilikuwa na namba za wachambuzi wa muziki Kama Rajab Zomboko, Chacha Maginga lakini bahati mbaya nimefanya reset ya Simu sizioni Tena. Naomba mwenye namba hizo na za wachambuzi wengine naomba anitumie hapa au PM au kwenye 0776655978
Zidani JF-Expert Member Joined Apr 5, 2021 Posts 970 Reaction score 3,941 Jun 15, 2021 #2 Nenda kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii utazikuta mkuu
Dumas the terrible JF-Expert Member Joined Jan 20, 2021 Posts 4,779 Reaction score 9,999 Jun 15, 2021 #3 Oya mkuu hata humu tupo Mimi naweza nikuchambulie old skool za 70's, 80's, 90's Iwe rythm, rock, havy metal, soul, RnB, artenative, disco funk, Afro beat, Africana, world no Karibu Sana!
Oya mkuu hata humu tupo Mimi naweza nikuchambulie old skool za 70's, 80's, 90's Iwe rythm, rock, havy metal, soul, RnB, artenative, disco funk, Afro beat, Africana, world no Karibu Sana!
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Jun 15, 2021 #4 Unafungua kituo cha tv
Idakolyanzoka Member Joined May 19, 2021 Posts 25 Reaction score 70 Jun 15, 2021 #5 mtafute madam rita na baharia salama jabir watakusaidia hao ndo magwiji naowajua.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jun 15, 2021 #6 Ngoja waje kukupa muongozo...
R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 1,958 Reaction score 1,744 Jun 17, 2021 Thread starter #7 Mtoto halali na hela said: Unafungua kituo cha tv Click to expand... Hapana mkuu!
Scotna New Member Joined Sep 23, 2021 Posts 3 Reaction score 2 Sep 23, 2021 #8 Naweza kukusaidia katika hilo mkuu