Mwenye ndoa salama ajitokeze hapa

Elimu nyingi za ndoa ni kama miluzi mingi kwa mbwa, hizo elimu ni matokeo ya ndoa nyingi kufa.

Ndio maana utaona nyakati ambazo hakukuwa na mautandawazi na hawa motivation speaker wa ndoa kwa wingi, ndoa zilikuwa zinaishi Ila sasa hivi maarifa mengi ya ndoa mtu anajichagulia atakako.. mwisho wa siku chali
 
Swali limekaa kibabe sana!. Ndoa ndiyo hizo mume kaua mke, mke naye kaua mume. Zilizobakia nyingi zinapumulia mashine.

Zenye amani ni % chache sana, tena mmoja kujifanya mjinga, kujifanya haoni anayotendewa. Na mtu wa hivyo tayari ana ugonjwa wa moyo na sonona.
 
Hapana mi sitaki..
Nataka iwe vurugu tuu sio unakuta mtu ana nyenyekea weee....

Mi nataka mtu wa kukiwasha kila mda
ndoman nkakwambia wewe hujui lolote kuhusu ndoa,,,we alokwambia mwanamke kunyenyekea ndoa inakua salama nani!!?

ivi unawajua wanawake kiundani lakin,,sema sio kosa lako ushazoea mishangaz 🥲😂😂🙌🏾
 
Motivation speakers Mimi huwa siwasikilizi
 
Kipimo chako cha usalama ni kipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…