Asante sanaPole sana.
Pole sana, mimi mwenyewe nina mild hearing loss na bado naishi.Kwa mara ya kwanza tangu niifanamu jf ndio ninaandika post, samahani kwa uandishi mbaya.
Kilichonisukuma kuandika hii post ni kwamba nimepoteza pambona la maisha na hata nafasi yangu inanishuhudia hilo.
Nimepitia Mikasa Mingi sana hapa duniani tangu utoto wangu, nimepambana vya kutosha bila nafuu, katika ukuaji wangu nilikuwa na marafiki wengi tu lakini mpaka sasa Sina rafiki hata mmoja zaidi ya hapa jf. Niliwapoteza baada ya kupata tatizo la usikivu.
Ninamengi ya kusema lakini sikuja hapa kujieleza matatizo nitajaza saver za jf. Leo ndugu zangu ninauhitaji mkubwa wa neno lako la faraja hata likiwa na herufi nne.
Kupoteza marafiki sio tatizo la usikivu tu. Hao sio marafiki zako tokea mwanzo walikuwa kama kupe tu wamekosa kukutumia watakavyo wao ndio wameondoka wenyewe.Nimepitia Mikasa Mingi sana hapa duniani tangu utoto wangu, nimepambana vya kutosha bila nafuu, katika ukuaji wangu nilikuwa na marafiki wengi tu lakini mpaka sasa Sina rafiki hata mmoja zaidi ya hapa jf. Niliwapoteza baada ya kupata tatizo la usikivu.
Hili tatizo lilianzaje mkuu kama hutojali kutolea maelezo.Niliwapoteza baada ya kupata tatizo la usikivu.
Ni kweli mawasiliano yangu mengi ni maandishi, changamoto ya usikivu lilizalizaa ukimya, kwakua marafiki wanapokaa kuzungumza naweza nisijue kwa mapana wanaongelea Nini, hili lilifanya nisiwe napendelea kukaa sehemu wanayozungumza kwasababu nilionekana msumbufu kwa kuuliza maswali Ili na Mimi nielewe. Nikawa mtu wa pekeyangu tu.Kupoteza usikivu hakupotezi utu wako, ona hapa JF tunawasiliana kwa maandishi tu.
Vipi kuhusu jamii za watu kama wewe? Hakuna uwezekano wa kuungana na kuwa na urafiki? Naamini wapo wengine kama wewe.Ni kweli mawasiliano yangu mengi ni maandisha, changamoto ya usikivu lilizalizaa ukimya, kwakua marafiki wanapoka kuzungumza naweza nisijue kwa mapana wanaongelea Nini, hili lilifanya nisiwe napendelea kukaa sehemu wanayozungumza kwasababu nilionekana msumbufu kwa kuuliza maswali Ili na Mimi nielewe. Nikawa mtu wa pekeyangu tu.
Nilianza kwa kushindwa kuona vizuri mwaka 2012,nilipewa dawa mbalimbali sikumbuki kwa sasa ila zilikuwepo Prednisone pamoja vitamin B, kipindi natumia hizo dawa masikio yalikwa yanapiga sana kelele ,tatizo la uoni hafifu lilipoisha ndio likaja hili la usikivu.Hili tatizo lilianzaje mkuu kama hutojali kutolea maelezo.
Awe na amani na asihangaike sana na kile kilicho nje ya uwezo wake , hapo atakuwa mtu mwenye furaha sana.Ngoja nimuite mjumbe secretarybird
Pole sana, umefika mpaka siku ya leo kwa kusudi, usikate tamaa, kila jambo lina mwisho wake, utaifikia siku ambayo mapito yako yataisha pia na labda tatizo lako la kusikia litapata ufumbuzi.Kwa mara ya kwanza tangu niifanamu jf ndio ninaandika post, samahani kwa uandishi mbaya.
Kilichonisukuma kuandika hii post ni kwamba nimepoteza pambona la maisha na hata nafasi yangu inanishuhudia hilo.
Nimepitia Mikasa Mingi sana hapa duniani tangu utoto wangu, nimepambana vya kutosha bila nafuu, katika ukuaji wangu nilikuwa na marafiki wengi tu lakini mpaka sasa Sina rafiki hata mmoja zaidi ya hapa jf. Niliwapoteza baada ya kupata tatizo la usikivu.
Ninamengi ya kusema lakini sikuja hapa kujieleza matatizo nitajaza saver za jf. Leo ndugu zangu ninauhitaji mkubwa wa neno lako la faraja hata likiwa na herufi nne.
Upo sahihi mkuu, ukijikubali mwenyewe inatosha sana, hakuna aliependa kuwa namna alivyo.Pole sana, mimi mwenyewe nina mild hearing loss na bado naishi.
Kikubwa jikubali tuh, hata uishi kwa namna gani dunia itakujaji tuuh.
Shida yako sio usikivu Shida yako kubwa ni mindset yakoKwa mara ya kwanza tangu niifanamu jf ndio ninaandika post, samahani kwa uandishi mbaya.