Kukosa kazi na upweke mkubwa ndio changamoto kubwa.Pole Sana ,
Unapitia changamoto gani kutokana na tatizo lako usikivu hafifu ?
Kukosa Kazi ?
Kutengwa na ndugu na marafiki?
Je , umewahi kufikiria kuanzisha WhatsApp groups then ukawatafuta watu wenye the same situation Kama yako mkawa mnabadilisha mawazo na kupeana mbinu za Ku-handle the situation/problem.
Tatizo la usikivu ni tatizo la kawaida Ila , linataonekana kubwa kubwa Kama ukifanyiwa bullying .
Nawaza Kama utaibadilisha hii changamoto iwe fursa .
Fanya hivi watafute watu wenye shida Kama yako
Then fungueni groups lenu muwe mnapeanza experience na njia mbalimbali za kuishi au kuishinda hii changamoto
HOV .
Kukosa kazi na upweke mkubwa ndio changamoto kubwa.
Asante mkuuPole , Sana
Waweza Fanya hivi fungua thread then muunde group la WhatsApp
Watu wote wenye changamoto Kama yako mkutane.
Kama wewe ni KE itapendeza uanzishe mahusiano na MTU mwenye uelewa na hii changamoto
As well Kama ni ME do the same.
Well noted mkuu!Umenikumbusha member mpauko. Alikuwa na matatizo kama yako lakini mwisho wa siku alijiua. Kumbukumbu yake hadi leo inaniumiza
Natumai tu, hutoamini kuwa dunia ni nyepesi kwa walio na utimilifu ambao wewe umepungukiwa. Amini kila mmoja ana mitihani na changamoto zake. Nawe hilo ni lako, likubali, ishi nalo na uvae ngozi ya chui ili uweze kupambana mkuu
Sio rahisi ila bado ni muhimu kufanya kwa sababu hauna option ingine mkuu
pole sana na Usikate tamaa kwa Mungu kila kitu kinawwezekana...ni swala la muda tu.Kwa mara ya kwanza tangu niifanamu jf ndio ninaandika post, samahani kwa uandishi mbaya.
Kilichonisukuma kuandika hii post ni kwamba nimepoteza pambona la maisha na hata nafasi yangu inanishuhudia hilo.
Nimepitia Mikasa Mingi sana hapa duniani tangu utoto wangu, nimepambana vya kutosha bila nafuu, katika ukuaji wangu nilikuwa na marafiki wengi tu lakini mpaka sasa Sina rafiki hata mmoja zaidi ya hapa jf. Niliwapoteza baada ya kupata tatizo la usikivu.
Ninamengi ya kusema lakini sikuja hapa kujieleza matatizo nitajaza saver za jf. Leo ndugu zangu ninauhitaji mkubwa wa neno lako la faraja hata likiwa na herufi nne.
For healing purpose hukupaswa kuandika hii comment.Umenikumbusha member mpauko. Alikuwa na matatizo kama yako lakini mwisho wa siku alijiua. Kumbukumbu yake hadi leo inaniumiza
Natumai tu, hutoamini kuwa dunia ni nyepesi kwa walio na utimilifu ambao wewe umepungukiwa. Amini kila mmoja ana mitihani na changamoto zake. Nawe hilo ni lako, likubali, ishi nalo na uvae ngozi ya chui ili uweze kupambana mkuu
Sio rahisi ila bado ni muhimu kufanya kwa sababu hauna option ingine mkuu
Ametoa tu mfano....ni sawa na kusema kwa mvuta sigara (sigara inaua ilimuua mzee fulani) so kusisitiza kuchukua taadhari zaidiFor healing purpose hukupaswa kuandika hii comment.
Huyu jamaa anapitia situation ngumu kama huyo uliyemtaja. Huyu utamtengenezea hisia za kujiona wa kujiua kama Mpauko of which is not good.
Lengo ni kutafuta solution siyo kumuwekea mirror ili ajione hivi ulivyoandika,boss.
Moderator atusaidiw kuondoa hii comment na quote yangu pia.
Ni ushauri tu,mkuu.
Wazo zuri sana, kwa sasa mimi nafanya utafiti wa kutafuta suluhisho na kuongeza ufahamu kuhusu hili tatizo. Na pia natengeneza hearing aid kwa research tuh, mimi ni biomedical engineer.Pole Sana ,
Unapitia changamoto gani kutokana na tatizo lako usikivu hafifu ?
Kukosa Kazi ?
Kutengwa na ndugu na marafiki?
Je , umewahi kufikiria kuanzisha WhatsApp groups then ukawatafuta watu wenye the same situation Kama yako mkawa mnabadilisha mawazo na kupeana mbinu za Ku-handle the situation/problem.
Tatizo la usikivu ni tatizo la kawaida Ila , linataonekana kubwa kubwa Kama ukifanyiwa bullying .
Nawaza Kama utaibadilisha hii changamoto iwe fursa .
Fanya hivi watafute watu wenye shida Kama yako
Then fungueni groups lenu muwe mnapeanza experience na njia mbalimbali za kuishi au kuishinda hii changamoto
HOV .
Hakuna kitu sijali kama kupoteza marafiki au watu,no permanent friends no permanent enemiesKwa mara ya kwanza tangu niifanamu jf ndio ninaandika post, samahani kwa uandishi mbaya.
Kilichonisukuma kuandika hii post ni kwamba nimepoteza pambona la maisha na hata nafasi yangu inanishuhudia hilo.
Nimepitia Mikasa Mingi sana hapa duniani tangu utoto wangu, nimepambana vya kutosha bila nafuu, katika ukuaji wangu nilikuwa na marafiki wengi tu lakini mpaka sasa Sina rafiki hata mmoja zaidi ya hapa jf. Niliwapoteza baada ya kupata tatizo la usikivu.
Ninamengi ya kusema lakini sikuja hapa kujieleza matatizo nitajaza saver za jf. Leo ndugu zangu ninauhitaji mkubwa wa neno lako la faraja hata likiwa na herufi nne.
Unadhani watu wanafikia hatua ya kujiua kwa sababu ya influence?...For healing purpose hukupaswa kuandika hii comment.
Huyu jamaa anapitia situation ngumu kama huyo uliyemtaja. Huyu utamtengenezea hisia za kujiona wa kujiua kama Mpauko of which is not good.
Lengo ni kutafuta solution siyo kumuwekea mirror ili ajione hivi ulivyoandika,boss.
Moderator atusaidiw kuondoa hii comment na quote yangu pia.
Ni ushauri tu,mkuu.
Yes!..Kupoteza usikivu hakupotezi utu wako, ona hapa JF tunawasiliana kwa maandishi tu.