Mwenye notes za Secretarial Course, Nursery Teacher na Hair Dressing

Joined
Oct 7, 2020
Posts
19
Reaction score
13
Habari waheshimiwa.

Kuna mwalimu anadhamiria kutengeneza simple notes kwenye baadhi ya masomo kama vile Secretarial Course, Nursery Teacher na Hair Dressing. Lengo lake ni kutengeneza Simple and summarized Pamphlets.

Hivyo basi mwenye notes za masomo tajwa hapo juu aje inbox ka Mazungumzo. Njia ya uwasilishaji ni WhatsApp na Malipo ni kupitia Mpesa au tiGOPesa.

Asanteni kwa ushirikiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…