Mwenye Nyumba ameleta mganga wa kienyeji anatulazimisha tulambe unga anahisi kuna mchawi kwenye nyumba yake

Lamba unga huo
 
Usilambe hata iweje, ni bora liwalo na liwe kuliko kufanya maagano na wenye imani za kishirikina
 
NIMEKUJA NA MREJESHO

baada ya kupata ushauri kwa wadau mbalimbali humu maoni yenu wote niliyachukua na hiki ndicho kilichojiri,
Baada ya ile siku ya deadline ya kulamba unga ilipokwisha nikaamua kuuchuna kimya nikimtegea mwenye nyumba alete habari zake ili nikamfungulie kesi police kama mdau mmoja alivyonishauri hapo juu. Nayeye naona alishutkia(sijui alipitia huu uzi au machale tuh yalimtonya) but akawa amepause kwa mda bila kupata jibu, siku hiyo nimeamka mishale ya 12 nikakuta kuna viungaunga vimenyunyiziwa mlangoni kwangu mimi nikatoa fagio ndani nikafagia vyote then nikapita zangu nikaingia job. sasa ikabidi nitumie ukachero kujua sababu ya mimi kuwekewa vile mlangoni, ndio nikapenyezewa fununu kuwa mganga wake alichange plan kwamba kama mtu hataki kulamba basi wamwage mlangoni kwangu na wanivizie niko ndani coz nikitoka lazima niluke na kama ninauchawi basi sitoboi hata hatua 5. Kwa hilo walinikosa asee labda waje na plan nyingine halafu yule mganga wake naona ameshaondoka.
Nitaendelea kuwapa update wakuu ila siami hadi kodi yangu iishe yote na siachi hata siku moja. Update nyingine zitakuja kama drama zitaendelea πŸ™πŸ™πŸ™
 
Reactions: Cyn
Nenda serikali za mitaa then akuandikie notes na serikali z mita wakiwa mashahidi na kama kakutishia pia mripoti mpaka polisi ukae na rb ili aambiwe kabisa usalama wako uko mikononi mwake. then muda ukiisha ndo uhame asikutishe kibwege..kuhama wewe hama tu kwani hiyo nyumba ya kwako? Au ikiungua utabaki hapo? Sema asikutoe ghafla tu wakat hujajipanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…