Mwenye nyumba ana maana gani kugeuza shimo la choo?

Mwenye nyumba ana maana gani kugeuza shimo la choo?

Dr hyperkid

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2019
Posts
12,679
Reaction score
25,646
wakuu huu ujenzi wa hiki choo unamenishangaza kiukweli
Haiwezekani kugeuza sinki la choo ligeukie upande wa mlangoni yani Apo ukingia makalio yanageuka kwa mlangoni unless uwe mkaidi ugeuke kawaida
"Wachaga wacheni izo"
IMG_20210601_110816_8.jpg
 
Hamna kitu naenjoy kama choo kua na space na chenye muonekano usiotia shaka.

Hiki ukichuchumaa magoti yanagusa ukuta, mara mende wanatokeza dah.

Mkiambiwa hamieni maeneo ya Buza au Goba mnaleta ubrazameni.
 
Kuna wakati mmiliki wa nyumba ukiwa mjuaji fundi anakukomoa
 
Ila choo kichafu sana hiki. Huyo mwamba ajichange angalau apige tiles tu asee.

Mkuu kama wewe ni kama sisi wa bara uliingia mjini na haukuanza na vyoo kama hivyo..basi wawa ni wa ushuani!
 
Hizo ndio kazi za akina fundi Maiko,malipo ya kazi kikombe cha mbege.
 
Halafu bado mnasema et nyumba ni choo, wew kwa hali kama hiyo.
 
Mbona picha siku hizi kwangu sometimes hazifunguki Ni tatizo la mtandao au
 
Aisee hama haraka sana kama ndio umehamia acha tu hiyo hela uhesabu hasara
 
Hicho choo hata kama nina tumbo la kuharisha nikikiona tu napona.

Choo gani kichafu namna hiyo? Dah nimehisi kutapika hii pizza niliyokula mchana.
 
Back
Top Bottom