Mwenye nyumba ana maana gani kugeuza shimo la choo?

Hapo kwa % kubwa siyo mwenye nyumba ikiwezekana alijenga saidia fundi
Mazingira ya hicho choo siyo mazuri hata kidogo
 
Hiki choo mbona kichafu hivi!? 😩😩😩😩😩 poleni baadhi ya mnaopanga kwenye nyumba chafu kama hii.
wakuu huu ujenzi wa hiki choo unamenishangaza kiukweli
Haiwezekani kugeuza sinki la choo ligeukie upande wa mlangoni yani Apo ukingia makalio yanageuka kwa mlangoni unless uwe mkaidi ugeuke kawaida
"Wachaga wacheni izo"View attachment 1804480
 
Hiki choo mbona kichafu hivi!? 😩😩😩😩😩 poleni baadhi ya mnaopanga kwenye nyumba chafu kama hii.
Huo ujenzi wa kugeuza shimo la choo umeuwelewa lakini
Kifupi mwenye nyumba anawaweka wapangaji majaribuni kila waendapo msalani
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Nimeulewa lakini cha kwanza cha kulalamikia ilistahili kiwe ni uchafu wa hicho choo. Kwani hamlipi kodi zenu hadi mkubali kutumia choo kichafu kiasi hicho? Mkiwa na umoja na kumshinikiza huyo mwenye nyumba ni lazima akisafishe inavyostahili.

Nimejaribu kuvaa ivyo viatau vya wapangaji vimenipwaya
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Choo hakitamaniki aisee...bila shaka hiyo Ni mitaa ya kinondoni
 
Back
Top Bottom