Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Fundi maikowakuu huu ujenzi wa hiki choo unamenishangaza kiukweli
Haiwezekani kugeuza sinki la choo ligeukie upande wa mlangoni yani Apo ukingia makalio yanageuka kwa mlangoni unless uwe mkaidi ugeuke kawaida
"Wachaga wacheni izo"View attachment 1804480
Ukiongezea na ujezi mbovu kabisaYani li choo lichafu kinyama
Kuna wakati mmiliki wa nyumba ukiwa mjuaji fundi anakukomoaHamna kitu naenjoy kama choo kua na space na chenye muonekano usiotia shaka.
Hiki ukichuchumaa magoti yanagusa ukuta, mara mende wanatokeza dah.
Mkiambiwa hamieni maeneo ya Buza au Goba mnaleta ubrazameni.
Maeneo ya buza ApoYani li choo lichafu kinyama
Kuna watakao bakia uchumi wa kati lakini 🤣🤣🤣Choo cha hali duni kabisa. Tunarudi uchumi wa chini
Ila choo kichafu sana hiki. Huyo mwamba ajichange angalau apige tiles tu asee.