ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Isijekuwa mwenye nyumba anaishi hapo wewe unamuona mvumilivu. Elewa neno kuishi.baba mwenye nyumba wetu mvumilivu sana anapigwa tu sound ametulia
Baba mwenye nyumba wangu hana uvumilivu. Yeye anataka kodi ya miezi 6 sasa hata ukimuomba kuwa umlipe ya miezi minne na hiyo ya miezi miwili iliyobaki utalipa ukilipwa mshahara hata kama bado wiki 2 ulipwe anakwambia ni heri pabaki tupu yaani uondoke kuliko kulipa miezi minne. Tulikuwa wapangaji 6 tumeondoka wote wamebaki wawili.Maisha yenyewe ya sasa ukijichanganya ukaishi maisha fake ya kuigiza lazima u collapse tu kuna mpangaji mwenzangu single mother aliforce kumpeleka mtoto shule hizi za mamilion sasa hata baba mtoto amegoma kulipa ada mambo magumu Leo hii kafikisha miezi Sita anadaiwa tu kodi ila baba mwenye nyumba wetu mvumilivu sana anapigwa tu sound ametulia kuna mwingine yeye alidaiwa kodi ya mwaka mzima hadi akakimbia chumba kaacha kitanda na vyombo mwenye nyumba na mjumbe wamevunja mlango Mwenyenyumba kachukua Mali hizo.Mimi binafsi sijawahi kupitisha miezi miwili bila kulipa yaani bora nidaiwe kausha damu huko kuliko kodi ya chumba nacholala.
Wa kwangu huwa anadai hata kabla ya mudaMaisha yenyewe ya sasa ukijichanganya ukaishi maisha fake ya kuigiza lazima u collapse tu kuna mpangaji mwenzangu single mother aliforce kumpeleka mtoto shule hizi za mamilion sasa hata baba mtoto amegoma kulipa ada mambo magumu Leo hii kafikisha miezi Sita anadaiwa tu kodi ila baba mwenye nyumba wetu mvumilivu sana anapigwa tu sound ametulia kuna mwingine yeye alidaiwa kodi ya mwaka mzima hadi akakimbia chumba kaacha kitanda na vyombo mwenye nyumba na mjumbe wamevunja mlango Mwenyenyumba kachukua Mali hizo.Mimi binafsi sijawahi kupitisha miezi miwili bila kulipa yaani bora nidaiwe kausha damu huko kuliko kodi ya chumba nacholala.
Si uondoke hapoBaba mwenye nyumba wangu hana uvumilivu. Yeye anataka kodi ya miezi 6 sasa hata ukimuomba kuwa umlipe ya miezi minne na hiyo ya miezi miwili iliyobaki utalipa ukilipwa mshahara hata kama bado wiki 2 ulipwe anakwambia ni heri pabaki tupu yaani uondoke kuliko kulipa miezi minne. Tulikuwa wapangaji 6 tumeondoka wote wamebaki wawili.
Umesoma vizuri nilichoandika rafiki?Si uondoke hapo