Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Unaishi na familia au peke yako?Sina hela ya mwezi yaani kama nikipata nyumba ya laki tatu nimpe laki tatu 🙄🙄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaishi na familia au peke yako?Sina hela ya mwezi yaani kama nikipata nyumba ya laki tatu nimpe laki tatu 🙄🙄
Ndio utaratibu ulivyo huoSina hela ya mwezi yaani kama nikipata nyumba ya laki tatu nimpe laki tatu 🙄🙄
Inawezekana sema Amen!🤠Unamaanisha Nini,haiwezekani?
Yupo pekeyakeUnaishi na familia au peke yako?
AmenInawezekana sema Amen!
Mbona unamshurutisha na kumharakisha bossUnataka nyumba ya aina gani n bajeti yako sh ngapi.
Jibu chap nianze kazi
🙌 Amen dearAmen
Si wakalale nyumba za wageniPeke yamgu ila myumba yangu wageni hawakauki
Tena akijifanya mkarimu sana atajuta🙌 Amen dear
Si wakalale nyumba za wageni
Maana hapo anapangisha kwa ajili yao sio yake, maeneo hayo anayosema kupata nyumba anayoitaka kwa bei hiyo ni changamoto.Tena akijifanya mkarimu sana atajuta
Kumbe hivyo basi sawa mkuuEh wewe ndugu zangu mama yangu mzazi akalale kwa gest hakuzaa? Hapana
Mama tu nyumba ya laki 2 ya nn....tena wamama hata hatukai sana Kwa wanetuEh wewe ndugu zangu mama yangu mzazi akalale kwa gest hakuzaa? Hapana
We ni K au M,tuanzie hapo kwanzaSi ukalimu ila ni upendo nawapend ndugu zangu kwahiyo siwez acha waende kukaa mbali huko waangaike wakati mimi nipo