Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 9,189 Reaction score 16,128 Oct 31, 2022 #1 Sensa huwa ina mambo na taarifa nyingi ambazo hawawezi kuzitoa uwanjani. Mfano idadi ya watu kwa kila mji na kila kata. Naomba mwenye PDF yake anisaidie.
Sensa huwa ina mambo na taarifa nyingi ambazo hawawezi kuzitoa uwanjani. Mfano idadi ya watu kwa kila mji na kila kata. Naomba mwenye PDF yake anisaidie.