Kama kichwa cha habari kinavosema location nzuri ipo kwa ajili ya kufungua maabara ya kupimia watu malaria, UTI, typhoid n.k eneo hilo kuna dispensary moja lakin wananchi wote hawana imani nayo wakihitaj kupata vipimo hadi wapande magari kwenda gongo la mboto. FREMU ipo ni mbili ila imeunganishwa ikawa moja bei yake n elfu 80 kwa mwezi tu. NAWAKARIBISHA WOTE WENYE NIA NA MAABARA YA BINADAMU. Kwa maelezo zaid tuwasiliane kwa namba hii 0658047048