Martin Kemosabe
Senior Member
- Jan 28, 2020
- 168
- 78
Nimeperekenyua kila mahali kujua wanapopelekwa ndugu zetu ki ukweli hadi sasa hivi sijajua wanapelekwa wapi,J ana mtaani nyumba ya jirani wamebebwa nyumba nzima wapangaji zaidi ya 7 na familia zao eti kisa tu hiyo nyumba kapatkana mgonjwa mwenye korona mmoja, kwa wingi wa wale wapangaji nimejiuliza serikali inawapeleka wapi, kuwalaza wapi n.k
Vipi hali yao huko wanapopelekwa msongamano na huduma zingine zipoje,huu usiri wa kuficha kuonyesha sehemu wanapowapeleka hawa watu ndio kunanipa mawazo fikirishi,maana nawafahamu watu waliopelekwa karantini wenye smart phone tena wanapenda picha kuliko kula,ila maajabu ni kwamba sijaona hata mmoja akipost selfie ya walipo.
naombeni tu kuona picha za huko wanapopaita karantini nipaone pamekaaje,ni holu,au darasa,au wodi,yani tuoneshwe na chakula ikibidi wanacholishwa hao ndugu zetu huu usri hata bado siuelewi kbsa.