Mwenye Picha ya Kiongozi yeyote akiongea na Simba au Yanga kwenye hatua ya Makundi ya CAF anisaidie

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Kama kuna Mtu ana picha ya Waziri, Naibu Waziri, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Katibu Tarafa, Mtendaji Kata, au basi hata kiongozi wa mtaa wa Kariakoo akiongea na wachezaji wa Simba au Yanga zilizopokuwa hatua ya makundi michuano ya CAF naiomba.

Nina matumizi nayo tafadhali.
 
Nyie wapumbav sana. Yaani mnaona Waziri anazurura, shenzi sana
 
Kumbuka tu Yanga ni timu ya wananchi wa Tanzania. Na siyo timu ya Wahindi wa Bombay, au New Delhi.
 
Umeshindwa kuficha mahabaa, shabiki wa Yanga,
Wapii neutral [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu safari hii Mwana FA wamemtelekeza.
 
Rais wa Ufaransa alikwenda Qatar mechi ya fainali.

Juzi waziri mkuu ameongelea mechi ya Fainali ya Yanga bungeni na kuitakia kila la heri.

Kama hufiki fainali moment kama hizi ni ndoto huwezi kupata attention ya serikali.
 
kwa hiyo kule anaenda kama mgeni rasmi?

watanzania tuache ujinga na unafiki mbona wiki iliyopita sikumuona waziri wa Algeria hapa kwetu
Na nyinyi mpunguze malalamiko yasiyo na kichwa wala miguu. Tanzania ni nchi huru, na haifuati utaratibu wa Algeria.
Kwa hiyo kama Waziri wa Algeria hakuja Tanzania, basi na Waziri wa Tanzania haruhusiwi kwenda kuipa hamasa timu Algeria!

Pambaneni na nyinyi mfikie hiyo hatua ili mpewe ndege ya bure na serikali plus msafara wa Waziri wa michezo.
 
Nilichogundua Mashabiki wa simba wana wivu wa kijinga fulani hivi, Ingekuwa simba amefanyiwa haya wala tusingemind zaidi ya kutupa morali tupambane tufikie huko, hiyo ndiyo tofauti ya Mashabiki wa Yanga na Simba
 
Atasaidia kuwapeleka airport baada ya kipigo Maana watakuwa wamechanganyikiwa wasije potelea huko.
 
Waziri mzima anakosa kazi za kufanya yupo anazurura na ndege na masuruali yake.

Huyu mama ni dokta ila ni mweupe aiseee kwani dokta yake ni ya nini? lugha au?
Hamnaga wahaya wajinga Kama... Ungejiita nshomile wakisukuma asee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…