Uchaguzi 2020 Mwenye picha ya Magufuli 2015 akiwa amepiga magoti jukwaani kuomba kura aniwekee hapa

Uchaguzi 2020 Mwenye picha ya Magufuli 2015 akiwa amepiga magoti jukwaani kuomba kura aniwekee hapa

Mwaka 2015 Mh. Magufuli alikuwa anaomba uongozi wa nchi kwa mara ya kwanza. Alikuwa Bandidu hasa na style ya push ups kuonesha kuwa yuko imara kiafya kuliko mpinzani wake mkubwa Eddo Lowassa ambaye afya ilitetereka kipindi hicho.

Waafrika tunategemea mwanaume anapokwenda kuposa mara ya kwanza anakuwa mnyenyekevu na ndo siku hizi tunawaona wengine wanapiga magoti kuwavika Pete wachumba wao. Lakini kwa Magufuli aliamini atapata tu tena kwa kuonesha "maguvu" jukwaani kwa kupiga push ups na Mapanga Shaaa ya Wanaume Temeke. Alikuwa kibri na mwenye kauli zilizosimama kimamlaka japo alikuwa hajapata mamlaka hayo.

Leo mamlaka anayo maana Katiba yetu yenye viraka na matobo inaendelea kumpa kofia 2 kwa wakati mmoja, Lakini ghafla tumemuona majukwaani si Mara moja kapiga magoti anaomba kura kwa unyenyekevu ambao tunaambiwa kwa wapambe wake anao lakini yeye anakataa na kusema ni Jiwe.

Sasa kama ni tabia yake siku zote, naomba aliye na picha yake ya 2015 akiwa amepiga magoti jukwaani kama alivyofanya juzi Kawe, Wiki iliyopita Njombe nk aniwekee hapa!

Hapo kabla ya kupiga magoti alipiga yowe kuu kama analata roho
"Nileteeni gwajimaaaa"
"Nileteeni Gwajimaaaaaaa"
"NILETEENI GWAJIMAAAAAAAAA"
"UWIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII"
 
Hapo kabla ya kupiga magoti alipiga yowe kuu kama analata roho
"Nileteeni gwajimaaaa"
"Nileteeni Gwajimaaaaaaa"
"NILETEENI GWAJIMAAAAAAAAA"
"UWIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII"
Kweli mkuu.
 
Safari hii push up imebuma
Akipiga push ups ule moyo wa plastic(inasemakana umetengenezwa kwa mifuko ya rambo iliyopigwa marufuku) utapasuka na ndo utakuwa mwisho wake, ameshauriwa abadili style, awe anapiga magoti na siyo push up
 
.
578905.jpg
 
2015 alikuwa na squad makini iliyosheheni wajuvi wa siasa, akina Kinana, Nape, Makamba Sr &Jr, Kikwete, Mkapa, e.t.c. Hivi sasa kasuswa kabisaa
 
Back
Top Bottom