Mwenye picha ya msanii Pig Black/P1 black

Mwenye picha ya msanii Pig Black/P1 black

Screenshot_20170505-125822.png
 
Hivi pig black ndio kashindwa kutoka hata singeli..duh we miss him..hata coverage moja sijawahi msikia
 
Kama kichwa kinavojieleza,huyo msanii namkubali sana,ni msanii wa hip hop hapa bongo na ana ladha na uandishi wa kipeke yake,ana mashairi ambayo huwezi kukalili kamwe,sanasana utaambulia vimistari vinne vitano.ana Rap ya kipeke yake haifanani na rap ya msanii wa aina yeyote yule duniani.ana sauti flani hivi ya kuchana ambayo inaleta ladha,aliwahi kuwika na ngoma kama mtoto wa mjini,nini mnataka,ninapokuja Dar,tabasamu,nisikilize,pig black,n.k.ila tatizo siijui sura yake kabisa na natamani sana kuijua sura yake na hata jina lake mitandao ya kijamii..naomba mwenye sura yake aitupie hapa


Nenda youtube, andika Pig black ft mr blue Nisikilize mm........hapo utampata vyema
 
lile beat mi huwa linanimaliza,kile kipindi cha sauda mwilima alikua analitumia kipindi kikianza na kwisha nilikua nawahi niliskii,P funk mikino yake balaa.
We ni mwanamke? Maana kibongobongo mwanamke kujua vitu kama vile ni adimu sana
 
Back
Top Bottom