Kama kichwa kinavojieleza,huyo msanii namkubali sana,ni msanii wa hip hop hapa bongo na ana ladha na uandishi wa kipeke yake,ana mashairi ambayo huwezi kukalili kamwe,sanasana utaambulia vimistari vinne vitano.ana Rap ya kipeke yake haifanani na rap ya msanii wa aina yeyote yule duniani.ana sauti flani hivi ya kuchana ambayo inaleta ladha,aliwahi kuwika na ngoma kama mtoto wa mjini,nini mnataka,ninapokuja Dar,tabasamu,nisikilize,pig black,n.k.ila tatizo siijui sura yake kabisa na natamani sana kuijua sura yake na hata jina lake mitandao ya kijamii..naomba mwenye sura yake aitupie hapa
Umechanganya, yule ni black rhinoNdo yule dogo ake profesa jay au nimechanganya madesa
Umechanganya, yule ni black rhino[/QUOT
Ila simple X nae ana undugu na prof Jay ni mdogo wake pia
Umechanganya, yule ni black rhino
Umechanganya madesa mkuu, yule ni Simple X aka Mzee wa ngano.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
We ni mwanamke? Maana kibongobongo mwanamke kujua vitu kama vile ni adimu sanalile beat mi huwa linanimaliza,kile kipindi cha sauda mwilima alikua analitumia kipindi kikianza na kwisha nilikua nawahi niliskii,P funk mikino yake balaa.
Mkuu Pig black sio mdogo wa plof,,Ndo yule dogo ake profesa jay au nimechanganya madesa
Wasanii wa siku hizi mi chenga tupuIla rap ya 99 had 2006 ilikuwa nyoko ile
Duuu those days.msanii anaingia booth mistar Ipo kichwani
Sio saiv msanii anarekod kwa kusoma kwenye daftar
Ni mdogo wake kweli,,wadogo wa plof ni black rhino na simple xHuyo Simple X alieimba Pamoja na Jey kwenye piga makofi ndio mdogo wake.?
Sidhani.!
Hata piga makofi kaimba yeyeSijaitaja piga makofi mkuu. Nimeitaja 'hakuna noma'
Sijaitaja piga makofi mkuu. Nimeitaja 'hakuna noma'
Ile ngoma kali sana"Nini mnataka mazee,mafansi hawakujibu"
"Zamani wangejibu rhymes,Leo imebaki aibu"
By Nikki Mbishi-Nyakati
Poa mkuu,kwani ni mwanao??Tatizo tumepiga puc as a selfie siwezi post aisee