Mwenye picha ya msanii Pig Black/P1 black

Yaaa P yooo yaaah
Nini mnataka mazeee Waaaaah. [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji2] [emoji3] hapana chezeyaa aisee. Ndio maan flash yangu GB 64 nimeingiz Long Audio 6975 Ya kwanza ni Berry black-Nakupenda. Afu ya Mwisho ni Sollo thang-Ndugu zangu.
 
Huyu pig black sio black Wa ukweli yule mwenye blog
 
Drop the bomb yooo...
 
Pig alikua anabeba sembe na alikua kwenye payrole ya shkuba.anashinda kinondoni maskani kwao na anakaa pale magomeni kanisani mkono wa kulia kutoka kituo cha mwendokasi.ulizia pig utampata laiv
 
Pig black jina lake halisi ni mbungangali jumanne foto yake sina
 
Niskize mi...u know me... Mtoto wa mjini kazini kuwarusha skomi, .....
 
Pig alikua anabeba sembe na alikua kwenye payrole ya shkuba.anashinda kinondoni maskani kwao na anakaa pale magomeni kanisani mkono wa kulia kutoka kituo cha mwendokasi.ulizia pig utampata laiv
Mkuu magomeni kanisani ni wapi? Unazungumzia kanisani pale Morocco hotel au wapi?upande upi? Wa kule garden breeze au upande ule kama unaenda tandale?
 
Mkuu magomeni kanisani ni wapi? Unazungumzia kanisani pale Morocco hotel au wapi?upande upi? Wa kule garden breeze au upande ule kama unaenda tandale?
Pale morroco hotel.ukivuka barabara mkono wa kulia kama unaelekea kinondoni kuna mafrem kibao.sasa ukiambaa ambaa na njia hiyo yanapoishia mafrem tu kuna mtaa.fata huo.nyumba ya kwanza ina fens ya mabati yamechoka ndo humo.nje pamechoka ila humo ndani ni balaa.mke wake ni mweupe pee anaitwa Tamrina.huwez potea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…