Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Dada yake na Dativa wa busisi sengerema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada yake na Dativa wa busisi sengerema
Nilikuwa najiuliza alienda wapi? Nilikuwa napenda sana kipindi chake cha bunge la wasikikizaji.Uncle Sam, Samweli Kiama, mishikaki wangu, kwa sasa yupo BBC pale Mikocheni
Watu wa kanda ya ziwa kiswahili chenu kinajulikana.Dada yake na Dativa wa busisi sengerema
Wote nilifanikiwa kuwaona laivu ,2008 mwanza lakin sikuwa na simu janja ningewapiga picha dah,umenikumbusha mbali SanaMwenye picha za Beatrice Rabachi
Na Glory Robbison azitume