Mwenye pingamizi kuhusu uchumba huu ajitokeze

Jamani watu na bahati zetu,mie nimeonekana na mwanachitchat mwenzangu,siku si nyingi tunataka kutangaza nia,ili ndoa isiwe na mapicha picha naomba mwenye pingamizi ajitokeze tafadhali,nimempata wa moyoni RUTTASHOBOLWA!
Utamuweza? Anyway...
 
Apo ndo shoping ya harusi.....
''Nipe suti kumi kama za rutashobya, viatu vya gucci pair 9..kama vya rweyemamu..
...na mashat ya chuichui..pair nane..na mikanda ya chumachuma pair 7...
Unanierewa rakini...

Aaaghh kwani muuzaji.. Iro duka rote shiringi ngapiiii....!!!
(tangazo la voda)
 
kila la kheri kwenye maandalizi yenu...
 
Jamani watu na bahati zetu,mie nimeonekana na mwanachitchat mwenzangu,siku si nyingi tunataka kutangaza nia,ili ndoa isiwe na mapicha picha naomba mwenye pingamizi ajitokeze tafadhali,nimempata wa moyoni RUTTASHOBOLWA!

hivi unafahamu huyu jamaa ni lawyer na tabia za lawyer kila kitu wanataka evidence.
Pili uwe tayari kuona usiyoyatarijia! Mfano:
siku moja rutta alikengeukia ktk ile porsche yake mpya, na yule she kwa makusudi akaacha bra na bikini yake huko. Kufika nyumbani nanilu wake alivyoona vile vitu aliwaka sana, rutta wala hakumjibu lolote, kuona vile ikabidi nanilu avichukue ili kuvitia moto.
Wakati anawasha kiberiti rutta akamwambia
"my wife what you are trying to burn worth ten times a new BMW x6 which i propose to buy for you, its my raped client's evidence, she was wear them when they raped her". Basi wife kusikia atakosa X6 alikuwa mdogo kuliko piriton.
Sikutishi, ila umejiandaaje, sasa na unavyopendaga kusikilizaga maneno utaumia kila cku maana kila utakachomwambia hata kama ndo ametoka kukifanya atakujibu hivi "no evidence no right to talk, justfy your matter at a point of ö reasonable doubt"
cha mwisho all lawyers including rutta are liers.
Cc: Baba V m/kiti
Babu Aspin mkaguzi.
 
Jamani watu na bahati zetu,mie nimeonekana na mwanachitchat mwenzangu,siku si nyingi tunataka kutangaza nia,ili ndoa isiwe na mapicha picha naomba mwenye pingamizi ajitokeze tafadhali,nimempata wa moyoni RUTTASHOBOLWA!

Hivi Madame B, umeshakamilisha zile divorce paper za wewe na Rutashobolwa...?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…