Mke wangu kipenzi marejesho ametulia asije kumtingisha mtoto!
Ukinishtaki utachekesha sana! Wewe unafahamu kukaguliwa kwa passion lady ni utaratibu wa lazima tuliojiwekea! Hakuna ndoa itakayotangazwa na Baba V kwa binti ambae hajakaguliwa! Kwahiyo mnajisumbua tu hapa. Na lazima akaguliwe na mimi!
Ukimaliza ukaguzi urudi nyumbani tafadhali...
MAREJESHO na ww unaridhia mumeo kunikagua duuuh!kweli una moyo wa kijasiri
Hawa viumbe hawashikiki my dear passion lady .... Hata nikimnyima atakuja kwa kificho....Nimeamua nimuache tu aendelee akimaliza arudi tu home.... Daktari kanishauri kipindi hiki niepuke stress....
Ukimaliza ukaguzi urudi nyumbani tafadhali...
mh!sawa my dear ila mm hanikagui ng'o nimemgomea lkn ameng'ang'nia huyo,husbnd 2 b mwenyewe kamgomea,mapumziko mema shost maana huby wako pasua kichwa!
kukaguliwa ni lazima bibie! Na huwezi kuolewa kabla hujakaguliwa! Ubishi hautakusaidia kitu! Na huyo Ruttashobolwa anajua wazi ila anajitia wazimu tu! Labda hakutaki ndio maana hataki ukaguliwe wakati anajua hataweza kukuoa!
Kuja pande hii nikukague, usipoteze muda!
mh!sawa my dear ila mm hanikagui ng'o nimemgomea lkn ameng'ang'nia huyo,husbnd 2 b mwenyewe kamgomea,mapumziko mema shost maana huby wako pasua kichwa!
Apo ndo shoping ya harusi.....
''Nipe suti kumi kama za rutashobya, viatu vya gucci pair 9..kama vya rweyemamu..
...na mashat ya chuichui..pair nane..na mikanda ya chumachuma pair 7...
Unanierewa rakini...
Aaaghh kwani muuzaji.. Iro duka rote shiringi ngapiiii....!!!
(tangazo la voda)
Filipo acha kupotosha nampenda sana akanana passion lady na hakuna atakaye mkagua tena wewe hauna nguvu za kumkagua hebu nenda katulie na shem marejesho!
kama kweli ningekuwa napotosha unge"copy" kwa Asprin na Baba V! Nasisitiza kuwa hakuna ndoa itafungwa kama sijamkagua huyo passion lady kwa mamlaka niliyopewa na Asprin! Mark my words!

Mark my words too/ hatokaguliwa na mtu hasa wewe sito kubali ikiwezekana hapatakalika hapa!
Liwalo na liwe!
Cc marejesho
enheee!ASPRIN mwenyewe kakubali ndoa ifungwe,FILIPO umekomalia kutaka kuchungulia wake wa wenzio looooo,kwangu umenoa babu