enheee!ASPRIN mwenyewe kakubali ndoa ifungwe,FILIPO umekomalia kutaka kuchungulia wake wa wenzio looooo,kwangu umenoa babu

Asprin ame'deligate' swala la ukaguzi kwangu. Hana pingamizi la ndoa yoyote ila lazima muhusika akaguliwe. We endeleza ubishi ukidhani utakusaidia! You're wasting your time. Na huyo Ruttashobolwa anafahamu vizuri ila tu hakutaki ndio maana haoni tatizo kuvunja utaratibu tuliojiwekea! Angekuwa anakutaka/kupenda angefuata taratibu zote! Shtuka!!!!
Hizo njama tu nishakushtukia,RUTTA wangu ananipenda sana tu,hataki hazina yake iguswe,we chetuka tu lakini habari ndio hiyo!Asprin ame'deligate' swala la ukaguzi kwangu. Hana pingamizi la ndoa yoyote ila lazima muhusika akaguliwe. We endeleza ubishi ukidhani utakusaidia! You're wasting your time. Na huyo Ruttashobolwa anafahamu vizuri ila tu hakutaki ndio maana haoni tatizo kuvunja utaratibu tuliojiwekea! Angekuwa anakutaka/kupenda angefuata taratibu zote! Shtuka!!!!
mmh bora sie tumeghairi
SUPRISE mmegairi nn?kuoana?kisa?sheria za kina filipo?pole sana mie kitaeleweka tu!
nakusubiri mkivuka salama nami ntaunga tela
Hizo njama tu nishakushtukia,RUTTA wangu ananipenda sana tu,hataki hazina yake iguswe,we chetuka tu lakini habari ndio hiyo!
SUPRISE mmegairi nn?kuoana?kisa?sheria za kina filipo?pole sana mie kitaeleweka tu!
Utasubiri saaaaana embe chini ya mwarobaini!
mi nitavuka tu hata ya mkeka nayo ndoa nitafunga ikibidi tena kwa siri
nakuhakikishia hakuna ndoa itafungwa hapa! Hata ya mkeka haifungwi hadi nikukague!!! Tutajuaje kwamba wewe ni Ke na sio Me?
kama vipi chitchat remix, za mkeka ruhsa
Asprin ame'deligate' swala la ukaguzi kwangu. Hana pingamizi la ndoa yoyote ila lazima muhusika akaguliwe. We endeleza ubishi ukidhani utakusaidia! You're wasting your time. Na huyo Ruttashobolwa anafahamu vizuri ila tu hakutaki ndio maana haoni tatizo kuvunja utaratibu tuliojiwekea! Angekuwa anakutaka/kupenda angefuata taratibu zote! Shtuka!!!!
mngeweza kumkagua mzungu.........., ningewaamini lakini kama kule mlishindwa hman mnachofanya reproductive kwenye hiyo ukaguzi secta