St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
Mke wangu kipenzi marejesho ametulia asije kumtingisha mtoto!
Ukinishtaki utachekesha sana! Wewe unafahamu kukaguliwa kwa passion lady ni utaratibu wa lazima tuliojiwekea! Hakuna ndoa itakayotangazwa na Baba V kwa binti ambae hajakaguliwa! Kwahiyo mnajisumbua tu hapa. Na lazima akaguliwe na mimi!
ukimwi unaua sanaJamani watu na bahati zetu,mie nimeonekana na mwanachitchat mwenzangu,siku si nyingi tunataka kutangaza nia,ili ndoa isiwe na mapicha picha naomba mwenye pingamizi ajitokeze tafadhali,nimempata wa moyoni RUTTASHOBOLWA!
najua sana..Hakuna cha mgeni hapa,mi mwenyeji ww tu hujui
ukimwi unaua sana
najua sana..
Loop hipo kubwa sana hasa kwa filipo maana hakuna kipengele cha chit chata kinampa nguvu ya ukaguzi hata kama aliambiwa kwa mdomo hiyo sheria siyo written na hapo ndio ntamshinda!
najua sana JIPU ndio maana maana nimeamua kutulia na RUTTA
thibitisha umeamua kutulia na si porsche imekuzingua!
passion lady, niachie mume wangu.
hahaha, i like law, just a word can make a law not enforceable.
Ila kibaya ni kwamba rutta huwa lawyers wanavitumie vijineno visivyoeleweka ktk sheria kwa maslah yao tu, hawawezi kutumia kwa wengine.
Na kwa hyo loop chief hata mimi sina nguvu ya kukushawishi, ila ninachokifanya nw ni kufanya mpango kipengele cha kudelegate kiwepo katika chitchat inspection Act 2006 R.E 2010 nov.
Nitahakikisha hichi kinafanyika b4 the date of your marriage.
Pia nafikiria kuongeza idadi ya wakaguzi wa mkaguliwa wawe wawili (couples zenye uzoefu wa atleast 5yrs na zilizo na ushuhuda cc) mfano: Filipo & Marejesho, The bos & Secretary. Lengo ni kupunguza uchakachujaji wa ukaguzi, kwani mkaguzi awapo mmoja ni rahisi kumchakachua/kuchakachuliwa na mkaguliwa.
Nawasilisha
sasa MADAME B wewe una chimbuvu,bado kuna mkongomani,na rutta wangu unamtaka?ngumu hiyo

hapana my dear,nimempenda jinsi alivyo na c sababu ya porsche
a true lawyer.
sasa MADAME B wewe una chimbuvu,bado kuna mkongomani,na rutta wangu unamtaka?ngumu hiyo
we pole pole, rutta anajua kabisa aina ya ndoa aloifunga na madame, sasa wewe usilolijua ni sawa na usiku mwa giza, kibaya huna hata kijinga cha moto kikusaidie kumulika usijikwae.
Tatizo lako hutaki kuambiwa ukweli mtupu, mwishoni usitulaumu utakapokosa vyota na kupata stress.