Mwenye pingamizi kuhusu uchumba huu ajitokeze


tehe!tehe!
 
Akanana bila shaka utawatendea haki? Tegemea tuhumu nyingi zisizo na ushahidi! Lakini tutafika!
Jamani watu na bahati zetu,mie nimeonekana na mwanachitchat mwenzangu,siku si nyingi tunataka kutangaza nia,ili ndoa isiwe na mapicha picha naomba mwenye pingamizi ajitokeze tafadhali,nimempata wa moyoni RUTTASHOBOLWA!
 
Hahahahahahahahahahaha
naona unashindwa kumuuliza ushahidi wa yeye kuwa siyo mke wa mh Chimbuvu

 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaha
Swts habari yako bhana!
Naona umeweka tangazo la biashara!

 
Last edited by a moderator:
Utabidi uthibitishe hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…