Mwenye pingamizi kuhusu uchumba huu ajitokeze


Husbnd to be mwenyewe sheria ipo kiganjani wala sina wasiwasi,nyie endeleeni na mipango hewa
 
Hahahahahahahahahaha
Huwezi kumlazimisha kukaguliwa
hebu kwanza niambie shem marejesho anaendeleaje sio unazunguka tu huku wakati umemuacha peke yake!

Alaf nime karibia kukusue kwa kumsumbua akanana wangu!

Mke wangu kipenzi marejesho ametulia asije kumtingisha mtoto!
Ukinishtaki utachekesha sana! Wewe unafahamu kukaguliwa kwa passion lady ni utaratibu wa lazima tuliojiwekea! Hakuna ndoa itakayotangazwa na Baba V kwa binti ambae hajakaguliwa! Kwahiyo mnajisumbua tu hapa. Na lazima akaguliwe na mimi!
 
Last edited by a moderator:
Mi najua,FLIPO wivu tu unakusumbua,hunikagui hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…