Jamani nimepitiwa jana ndo naona beef la Designer wa Augustino na Q boy msafi aliyemtia doa Mondi Kwa skendo ya ku copy and paste Design za watu.
Nimegundua huyu dogo hana Sifa za kuwa designer bali ni mbabaishaji tu na Mwizi wa kazi za wanamitindo maarufu wenye kumuuza Vichwa.
Na ubaya watu wanaomzunguka Mondi wote wanamuogopa kiasi cha kutomweleza ukweli maana kitendo cha yeye ku post zile nguo ni wazi kuwa hakuna mwongozo bali madalali ndo wamemzunguka..