Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 5,039
- 6,253
Habari Mkuu? Ramani ya ghorofa huwezi kupata bure, hapa ninazo nyingi sana lakini hata nikikupatia Moja utahitaji structural detail drawing pia huwezi kupata bure, ili uweze kupata kibali Cha ujenzi yapasa uwe hiyo michoro miwili,
Wakuu tuheshimu taaluma za watu, mtu anaenda kujenga ghorofa ambalo gharama ni 150m+ lakini anataka mchoro bure,
Wakuu tuheshimu taaluma za watu, mtu anaenda kujenga ghorofa ambalo gharama ni 150m+ lakini anataka mchoro bure,