Mwenye ramani ya Mkoa wa Dar es salaam naomba PDF/picha yake

Mcanada

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
982
Reaction score
1,942
Habari ndugu zangu leo sina mengi naomba mwenye ramani ya mkoa wa dar es salaam inayoonesha mipaka ya wilaya na mitaa yake aniwekee hapa kwa mfumo wa PDF au picha kwa mfumo wa JPGE/PNG nina uhitaji nayo muhimu sana, nitashukuru sana kwa msaada huo. Mungu awabariki, karibuni sana canada.
 
Sema lengo lako kwanza kisha utapata msaada.

Ramani ina mengi na huficha mengi. Watu wengine wanaweza kuitumia kwa nia mbaya.

Kama lengo lako ni vema, nenda ofisi ya Mkuu wa Mkoa, watakupatia. Au nenda Wizarani, Dodoma. Watakupatia.
 
Google map haiwezi kuwa useful
 
Sema lengo lako kwanza kisha utapata msaada.

Ramani ina mengi na huficha mengi. Watu wengine wanaweza kuitumia kwa nia mbaya.

Kama lengo lako ni vema, nenda ofisi ya Mkuu wa Mkoa, watakupatia. Au nenda Wizarani, Dodoma. Watakupatia.
sina nia mbaya nataka hiyo ramani kama overview layout nipate kufanikisha mpango wangu wa kujenga apartments kila wilaya ntakayochagua.. sipo Tanzania kwasasa.
 
Habari ndugu zangu leo sina mengi naomba mwenye ramani ya mkoa wa dar es salaam inayoonesha mipaka ya wilaya na mitaa yake aniwekee hapa kwa mfumo wa PDF au picha kwa mfumo wa JPGE/PNG nina uhitaji nayo muhimu sana, nitashukuru sana kwa msaada huo. Mungu awabariki, karibuni sana canada.
 
Attachments

Mungu akubariki sana mkuu Sang'udi ulichonitumia kimejitosheleza its a well detailed document. Be Blessed man.
 
Habari ndugu zangu leo sina mengi naomba mwenye ramani ya mkoa wa dar es salaam inayoonesha mipaka ya wilaya na mitaa yake aniwekee hapa kwa mfumo wa PDF au picha kwa mfumo wa JPGE/PNG nina uhitaji nayo muhimu sana, nitashukuru sana kwa msaada huo. Mungu awabariki, karibuni sana canada.
Swali la amani na uraia mwema.....hivi, wewe ni Mwarabu, Msomali au Muislam mwenye siasa kali asiyewaza mazuri tu zaidi ya kujilipua mabomu mwilini na kuua wenzio wasio na hatia?
 
Hapana mkuu! mimi ni mtanzania kiasili, sina attachments zozote za ugaidi, sipendi kuuwa mtu/watu. Peace!
 
Back
Top Bottom