GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Kwa lugha iliyo nyepesi na isiyo na makandokando tayari Mshindi wa Kesho tumeshamjua.
Jibu swali mkuu, una hiyo rikodi ya Simba kumfunga Yanga Refa akiwa Arajiga?Mimi kila nikiona shabiki wa simba. Hasa genta
View attachment 3687607
Huo ujinga ndo utafanya mwendelee kufungwaJibu swali mkuu, una hiyo rikodi ya Simba kumfunga Yanga Refa akiwa Arajiga?
Una hiyo rikodi ya Simba kumfunga Yanga refa akiwa Arajiga? Achana na siasa.Huo ujinga ndo utafanya mwendelee kufungwa
Una hiyo rikodi ya Simba kumfunga Yanga refa akiwa Arajiga? Achana na siasa.
Kwahiyo YANGA ni TFF?Kwa lugha iliyo nyepesi na isiyo na makandokando tayari Mshindi wa Kesho tumeshamjua.
Hivi ee? Sawa mkuuSi mlitufunga kigoma...mukoko alikula red
Kwani wewe unayo ya simba kumfunga yanga refa akiwa wa Egypt?Una hiyo rikodi ya Simba kumfunga Yanga refa akiwa Arajiga? Achana na siasa.
Sina, kwa siku za hivi karibuni Simba hajawahi mfunga Yanga refa akiwa wa Egypt, ila hoja ni Arajiga, swali lingeulizwa takwimu za Simba kumfunga Yanga Diara akiwa golini ungepata huu ugumu wa kutoa majibu? Ungejibu straight, ni mechi moja kati ya nane zilizopita, Unapata huu ugumu sababu tayari umetengeneza tatizo, tayari unahisi kuna tatizo na Arajiga.Kwani wewe unayo ya simba kumfunga yanga refa akiwa wa Egypt?
POPOMA kwenye moja na mbiliKrismatic fella bwana 😀😀