Mwenye rekodi ya Simba SC kumfunga Yanga SC refa akiwa Arajiga aiweke hapa tafadhali

Arajiga anachezesha kwa maelekeza na hii ligi yetu itakuja kuwatokea puani yaliyompata mwamuzi wa Kenya yatawatokea
 
Kwani wewe unayo ya simba kumfunga yanga refa akiwa wa Egypt?
Sina, kwa siku za hivi karibuni Simba hajawahi mfunga Yanga refa akiwa wa Egypt, ila hoja ni Arajiga, swali lingeulizwa takwimu za Simba kumfunga Yanga Diara akiwa golini ungepata huu ugumu wa kutoa majibu? Ungejibu straight, ni mechi moja kati ya nane zilizopita, Unapata huu ugumu sababu tayari umetengeneza tatizo, tayari unahisi kuna tatizo na Arajiga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…